Mahali

Brisbane QLD 4000

Simu

1800 334 379

Muda wa Huduma

Jumatatu hadi Ijumaa kati ya
9:00am na 4:00pm

 

Legal Aid

Wawakilishi wa Legal Aid hutembelea Centres zote mara kwa mara. Mtu huyo anahitaji kumjulisha mfanyakazi kwamba anataka kumuona mwakilishi. Hii pia inatumika kwa Aboriginal and Torres Strait Islander Legal Service – ATSILS.

Ninaweza Kuandika Mara Ngapi?

Unaweza kutuma barua nyingi kadiri unavyotaka. Tafadhali kumbuka kwamba barua zote zitafunguliwa na kukaguliwa kabla hazijapewa mfungwa.

Prisoners Legal Service pia inapatikana.

Msaada Ndani ya Gereza

Tunapendekeza Centacare Prison Chaplaincy Service. Wapigie simu kwa 07 3324 3193. Wanaweza kupata mchungaji wa dini kumtembelea mtu aliyefungwa na pia kutoa taarifa nyingine. Wachungaji wa dini ni msaada mkubwa kwa wafungwa. Kuna wachungaji wa dini katika kila Centre.